Friday, 15 September 2017

Tetesi za Diamond kula bata na Dillish wa BBA Zanzibar zamtibua Zari

Tetesi za Diamond kutoka kimapenzi na Mshindi wa Big Brother Africa, Dillish Mathews baada ya wawili hao kudaiwa kuonekana huko visiwani Zanzibar wakila bata pamoja.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mashuhuda wa Zanzibar wamedai walimuona Diamond Platnumz katika hoteli ya kitalii ya Lagema visiwani humo ambayo pia Dillish alifikia

Mapema wiki hii, Dillish alipost picha mtandaoni kuthibisha kwamba yupo Afrika Mashariki.


Hello Tanzania
😘
😘


my first time in east Africa.

aliandika Dillish

Wadau wa mambo wanadai huwenda wawili hao wakawa na project ya pamoja.
 
Baada ya taarifa hizo kuzagaa mama watoto wa muimbaji huyo, Zari ameonekana kuchukizwa na kitendo hicho na kuamua kuandika ujumbe uliodaiwa kuelekezwa na Mnamibia huyo.
 
“Oh you dming me to tell me how he cheated? So many dicks just like so many pussy on the market. Like why do people think ts all about fighting for dick? Honey I will fight for money not dick,” aliandika Zari kwenye Snapchat akimaanisha kuwa kuna wanaume wengi tu sokoni kama walivyo wanawake wengi. Pia anadai kuwa hana muda wa kugombania mwanaume kwakuwa ni pesa tu ndio ipo akilini mwake.

Sakata hili limetokea ikiwa ni wiki chache toka ishu yake ya mtoto na Mobeto kuwekwa kiporo, Mashabiki wanaisubiria 40 ya mtoto wa Mobeto aitwaye, Abdul Nassib ili aweke wazi picha za mtoto wake huyo ambazo zinasubiriwa kwa hamu.

Jiunge na https://lambegu.blogspot.com/ sasa Usipitwe!! Jiunge namii kupitia
La MbeguNewz
,ili kupata habari zote za town! Usikose LAMBEGU.BLOGSPOT.COM

0 comments:

Post a Comment

Copyright © MOtown TV | Designed With By Blogger Templates
Scroll To Top