Mchekeshaji na mwigizaji Kevin Hart ameomba msamaha familia yake baada ya Drama za usaliti kuchukua hatua nyingine wiki hii.
Mpaka sasa SammisagoTv tumejifunza mambo haya kuhusu Drama hizi
-Kuna mwanamke alirekodiwa akiwa na Kevin Hart kwenye pozi za kimahaba na sasa ametishia kusambaza video hio asipolipwa na Kevin Hart.
-Kevin Hart ameomba msahama mapema kwa mke wake Eniko Parrish mwenye ujauzito kwa sasa na watoto wake wawili kabla mambo hayajaenda mbali.

-Video hii mpya ni ya dakika 4 na sekunde 47, inaonyesha watu wawili kitandai wakifanya Ngono ila huwezi jua kama ni Kevin au mtu mwingine.
-FBI tayari wameanza kufanya upelelezi sababu tayari kesi hii imekuwa ya Utapeli na BlackMail.
0 comments:
Post a Comment