Saturday, 16 September 2017
Manchester City wamepanda kileleni mwa ligi kuu ya Epl
Manchester City wamepanda kileleni mwa ligi kuu ya Epl baada ya kuichapa bila huruma Watford mabao 6 kwa 0, huku Sergio Aguero akipiga hattrick na mengine yakifungwa na Raheem Sterling, Gabriel Jesus na David Silva.
Mabao ya leo yanamfanya Kun kufikisha junla ya mabao 200 ya soka lake barani Ulaya huku mabao 74 akiwafungia Atletico Madrid na 126 akiwafungia Manchester City.

0 comments:
Post a Comment