Diamond Platnumz ameonyesha wazi kuwa mambo ni safi kati yake na Ex wa Hamisa Mobetto ‘Dj Majizo’ aka Majeey ambaye ni mmiliki wa kituo maarufu cha radio na tv [EFM Na ETV].
Awali palikuwa na minong’ono kuhusu mahusiano yao kutokana na Majizo kuwa baba mtoto wa kwanza wa Hamisa na baadae palikuwa na TETESI kuwa mwanamitindo huyo alianzisha mahusiano na Diamond Platnumz na kwamba mtoto wake wa pili ni wa SIMBA.
Post ya Picha ya Majeey ilikuwa na Ujumbe >>Diamond Platnumz>Belated Birthday to my Brother @Majizzo… one of the greatest Master Mind we have in Tanzania…
https://www.instagram.com/p/BY5XjoTHJnZ
source_samisago
0 comments:
Post a Comment