Wednesday, 13 September 2017
Mikoa mitano imetajwa kuwa hatarini kuingiliwa na Wanyamapori
Moja kati ya changamoto kubwa zinazokabili sekta ya wanyamapori nchini ni pamoja na migogoro inayoendelea katika hifadhi mbalimbali nchini ambapo leo September 13, 2017 Mwenyekiti wa Taasisi ya Watafiti wa Wanyamapori Tanzania Prof. Prinalia Elkanaperika amezitaja hifadhi tano zinazoongoza kwa migogoro hiyo.
Mikoa hiyo imetajwa kuwa ni pamoja na Manyara, Kilimanjaro, Iringa, Njombe, Morogoro na maeneo ambayo yako karibu na hifadhi za wanyama ambayo pia yako katika hatari kubwa ya kuingiliwa na wanyamapori japokuwa maaskari wa hifadhi hizo wanajitahidi kuzui matukio hayo.
0 comments:
Post a Comment