Imeripotiwa kuwa The Weeknd aliweka ratiba ya Tour yake ya “Starboy: Legend of the Fall Tour” iendane sawa na matibabu ya Selena.
Inasemekana tatizo hili la Selena ndio lilipelekea The Weeknd kushindwa hata kuhudhuria na kufanya show kwenye Tuzo za MTV Mwaka huu.
#LambeguNews
0 comments:
Post a Comment