.
.
1. Mafanikio ni kiwango cha juu kabisa cha uwezo ulionao – Zig Ziglar.
2. Wakati wote ni rahisi kuyapima mafanikio, ila ni mbali kutoka mwanzo hadi kuyafikia – Michael Korda.
3.Kuwa tulivyo, na kuwa vile ambayo tulitakiwa kuwa ndio mwisho pekee wa maisha – Robert Louis Stevenson.
4.Ninafanya vizuri kwa namna ninavyojua na ninaweza kuwa bora, ninamaanisha nitaendelea kufanya hivyo hadi mwisho – Abraham Lincoln.
5. Kuna njia ya kufanya vizuri zaidi… itafute – Thomas A. Edison.
6. Wakati wote fanya kilicho bora na kile ulichopanga kwa sasa, baadae utakuja kuvuna – Og Mandino.
6. Aliyefanya vilivyo bora katika muda wake ataishi katika nyakati zote –Johann von Schiller.
7. Shukrani, dondosha comment yako hapo chini kuelezea ni nukuu ipi imekubamba zaidi
.
Millard Ayo Tv
.
Bay La_mbegu0416
0 comments:
Post a Comment