
Saturday, 18 November 2017
Daxx Cruz Mwanamitindo maarufu kutoka nchini Tanzania kujan kivingine
Mwanamitindo maarufu kutoka nchini Tanzania anayeendesha shughuli zake za kibiashata na maisha nchini Afrika Kusini, Daxx Cruz Mwanamitindo huyu anayefanya kazi chini ya ‘Ice Model Management’ ya Afrika Kusini ambaye pia ni mwenye kuwahi kuingiza sokoni biashara ya soksi zenye jina lake, ‘Daxx Cruz’ amefunguka kuwa siku sio nyingi biashara hiyo itaingia sokoni kwa mara nyingine ataweka bidhaa ya za Viatu na Sunglasses sokoni mwanzoni mwa mwa mwaka kesho(2018).



0 comments:
Post a Comment