Monday, 13 November 2017

Videoya Dada yao kina Vanessa Mdee na Mimi Mars ni Mwimbaji pia.. tazama video yake mpya “silogeki” Itazame Hapa


Tunawafahamu Vanessa Mdee na Mimi Mars ambao ni mtu na mdogo wake na wote wanafanya muziki wa Bongofleva, leo hii millardayo.com inamtambulisha Dada yao ambae ni mkubwa kwao ambae anafanya muziki lakini wa Gospel.
Jina lake ni Nancy Hebron na hii ni single yake ya pili inaitwa ‘Silogeki‘ huku ya kwanza ikiwa ni ‘Taa ya miguu yangu’

0 comments:

Post a Comment

Copyright © MOtown TV | Designed With By Blogger Templates
Scroll To Top