Monday, 13 November 2017

Tume ya Uchaguzi yatangaza yafuatayo uchaguzi wa Udiwani (+video)

Tume ya Taifa ya uchaguzi imefanya mkutano wake na vyama vya siasa kuelekea uchaguzi mdogo wa madiwani November 26 2017 ambao Watanzania wataopiga kura ni laki 3 na Elfu 33 ambapo Vyama 12 vimesimamisha Wagombea, Wanawake 141 na Wanawake ni 11.

TAZAMA HAPA..

0 comments:

Post a Comment

Copyright © MOtown TV | Designed With By Blogger Templates
Scroll To Top