Mchezaji mpira wa miguu maarufu wa Timu ya Taifa ya Wanawake Marekani Alexandra Morgan ambaye amekuja nchini kuhamasisha wanafunzi wa kike wanaopenda mpira wa miguu kucheza mpira wa miguu pamoja na michezo mingine wakiwa bado mashuleni ili kuwaongezea uwezo wa kufanya vizuri zaidi
MTAZAME HAPA
0 comments:
Post a Comment