Kala Jeremiah ambaye Jana December 23, 2017 alikuwa mkoani Mbeya kwa ajili ya kutoa elimu ya kujitambua kwa vijana pamoja na burudani, inawezekana kabisa wewe ni miongoni mwa watu wengi wanaomfahamu Kala kwa juu juu tu bila kuijua historia yake vizuri lakini leo aliamua kuweka wazi historia yak e fui kwa watu wake ikiwemo kutowahi muona baba yake mzazi tangu kuzaliwa kwake.
Saturday, 23 December 2017
“Sijawahi kumuona baba yangu mzazi”-Kala Jeremiah
Kala Jeremiah ambaye Jana December 23, 2017 alikuwa mkoani Mbeya kwa ajili ya kutoa elimu ya kujitambua kwa vijana pamoja na burudani, inawezekana kabisa wewe ni miongoni mwa watu wengi wanaomfahamu Kala kwa juu juu tu bila kuijua historia yake vizuri lakini leo aliamua kuweka wazi historia yak e fui kwa watu wake ikiwemo kutowahi muona baba yake mzazi tangu kuzaliwa kwake.
0 comments:
Post a Comment