Friday, 23 June 2017

Ni baada ya kuhitimu degree ya Computer science GUANGDOUNG UNIVERSITY

Mwimbaji staa wa Bongofleva JUX amehitimu Degree ya Computer Science katika Guangdong University kilichopo Guangzhou, China na leo ameonyesha picha mbalimbali kutoka kwenye graduation yake.

June 22, 2017 baada ya maswali ya watu mbali waliokuwa wanahoji kitu alichokuwa anafanya Jux China hatimaye mwimbaji huyo staa wa Bongofleva ameonesha picha za graduation ya kuhitimu Degree ya Computer Science kutoka Guangdong University.
Jux kuonesha picha hizo kupitia Instagram yake kumewafanya watu wengi watoe pongezi kwake ambapo miongoni mwao ni Vanessa Mdee ambaye ametumia ukurasa wake wa Instagram pia kuelezea hisia zake.
“Congratulation Juma jux U finally done and you done did it well. Hapo watu walikuwa wakiombaga picha za wewe darasani nadhani hii picha jibu la kutosha. Umeweza kufanya yote, MZIKI, BIASHARA NA SHULE… now that’s exceptional. Muda wa vibunda babaaa. Keep inspiring the YUTEEEEE”  Vanessa Mdee.

0 comments:

Post a Comment

Copyright © MOtown TV | Designed With By Blogger Templates
Scroll To Top