JINSI YA KUTIMIZA NDOTO ZAKO
Mafanikio ni mchakato, ili uweze kuona ndoto zako zinatimia, kuna mchakato inabidi uupitie. Kutimiza ndoto zako kwanza kuna mambo mawili unatakiwa uyaangalie ndani yako mambo hayo ni a) Dhamira b) Beliefs
Mafanikio ni mchakato, ili uweze kuona ndoto zako zinatimia, kuna mchakato inabidi uupitie. Kutimiza ndoto zako kwanza kuna mambo mawili unatakiwa uyaangalie ndani yako mambo hayo ni a) Dhamira b) Beliefs
- DHAMIRA(DESIRE)
.
.
Sasa unapotaka kutimiza ndoto uliyokuwa nayo, nilazima utathmini that kind of belief uliyonayo sasa hivi inaweza kweli kui support ndoto yako? Hamna namna utaweza ku achieve ndoto hiyo uliyonayo bila ya kubadilisha baadhi ya beliefs ulizokuwa nazo, wengine wanaita reprogramming of your mind, watu wengi wamekwama na kufeli kwenye maisha, si kwasababu hawana ndoto, si kwasababu hawafanyi kazi kwa bidii, lakini moja ya sababu kubwa ni beliefs walizonazo, hizi zimekuwa ni hand break kwenye maisha yao, Ili kutimiza ndoto zao wanahitaji kubadilisha hizi beliefs.
Baada ya kufanya tathmini ya mambo hayo mawili hapo juu, inabidi uanze kuchukua hatua zifuatazo.
.
Ila sasa na taka nikufahamishe(kukuonyesha) kijjana alie pitia changa moto nyingi na akazishinda.
Nahii ndio picha ya shujaa huyo alie kutana na changamoto mbali mbali ila aka simama na kukaza moyo na kumtanguliza MUNGU mbele na kuamini All is well ili utimize ndoto inaitaji uvumilivu na subira na hatahivyo kutokukata tamaa nimoja ya hatua kubwa ya kuweza kuzifikia ndoto zako..
Huyu ni Millardayo ni mtangazaji wa cloudsfm vilevile ni Blogger anamiliki Millardayo.com nikijana anewapanguvu vijana wengi hususani mimi mwenyewe nimekuwa nikijifunza vingi kutoka kwake kwanjia alizo pitia mpaka kufanikisha ndoto zake bado naamini kilakitu kinawezekana chamsingi nikuweka nguvu kwa kile kitu unacho amini kitakufanya ufanikiwe katika maisha yako kuwa mvumilivu na pia kuwa na SUBIRA mafanikio hayapatikani KIURAHISI pigana kwanzia sasa na pia mtangulize mwe.zimungu mbele nawe utafanikiwa anaesema huwezi usimskilize we unaweza na nibora zaidi yake. Nilikuwa najaribu kukuonesha kila kitu kinawezekana kwa mifano ya waliopitia changamoto na wakazishinda naleo ni moja ya watu walio fanya vitu vingi vikubwa katika jamii Millardayo ni mfano wa kuigwa na watu wote wenye kupitia changamoto nyingi katika harakati za kutimiza ndoto.
a)Weka malengo.
Anza sasa kuweka malengo ya kutimiza hiyo ndoto yako, kuweka malengo ni taaluma muhimu unayo takiwa kujifunza(kama unahitaji kujua zaidi hili endelea kufuatilia kupitia ). Akili yako inafanya kazi kwa njia ya malengo, usipo ipatia lengo lenye mwelekeo wa kutimiza ndoto yako, mambo mengine yataipa akili yako malengo, hakuna namna itakaa bure, ndiyo maana nimuhimu kujifunza ujuzi huu, hakikisha lengo lako linakuwa na sifa zile zinazotakiwa (S.M.A.R. T ) na unaenda mpaka ule upande muhimu ambao wengi hawaujui wa jinsi ya kutimiza malengo hayo.
b) Tengeneza taswira halisi (create a clear picture)
Hatua inayofuata ni kutengeneza picha au taswira halisi ya jinsi ndoto yako unavyotaka iwe, hakikisha picha hii inakuwa clear kabisa in your mind, piga picha mwisho kabisa utakapokuwa umetimiza hiyo ndoto yako utakuwaje. Lamda una ndoto ya kuwa na nyumba, hakikisha unapata picha halisi ya aina ya nyumba unayotaka, nenda kwa undani zaidi inavymba vingapi, unataka sitting room yako iwaje? N.k. Pata picha halisi ya jinsi nyumba itakavyokuwa katika ukamilifu wake.
Hakikisha picha hii unaipitisha kwenye akili yako mara kwa mara, hakikisha unaiwaza mara kwa mara kwa kadiri utakavyoweza, unaweza kutumia mbinu kama kuiweka picha hiyo as a background picture kwenye simu yako au computer yako, au kama ni aina Fulani ya maisha unaweza ukatafuta picha inayofanana na aina hiyo ya maisha unayo taka, ukaibandika labda kwenye kuta za chumba chako cha kulala, usiku kabla hujalala unaingalia, asubuhi kabla ya kuamka unaingalia, nia nikuhakikisha picha hiyo inapita mara kwa mara kwenye akili yako.
c) Ambatanisha hisia chanya kwenye picha yako (Give positing feeling to your pic).
Hii ni hatua muhimu sana, make sure you get the feeling of the outcome, kopa hisia za Yule mtu unayetaka uwe, anza ku feel as if you have your dream now, tembelea maeneo, shilikiana na watu ambao wata zi boost hizo feelings, sikiriza aina ya mziki ambao utazi amplify hizo positive feelings, dress kama vile tayari umetimiza ndoto hiyo yako, kwa ujumla wake tengeneza mazingira yatakayo kufanya ujisikie vizuri, katika mwelekeo wa kana kwamba umetimiza ndoto hiyo.
.
.
Naamini utakuwa ujifunza na umechukuwa kitu kidogo kwa hiko nilicho jaaliwa kukufikishia amini na wewe sikumoja utafanya vitu vikubwa sana nawewe utakuwa mmoja ya vijana wanao wapamoyo vijana wengi mw.mungu akutimizie kila zuri unaloliangaikia pia usikate tamaa kwamaneno ya watu kwazarau zaleo unazo onyeshwa amini kwamba hayo nimapito na unapita kwamuda muda ukifika utakuwa bora na heshima itakuwepo amini kuanzia sasa wewe unaweza. Mpaka sikunyingine teana tukijaaliwa uzima na afya niakuwa nikikufikishia nijinsi gani tunaweza tukatimiza ndito zetu na tukakfanikiwa
.
Usisahau kutembelea LAMBEGU.BLOGSPOT.COM kwa kupata habari zote kubwa za siku.Tembelea mara kwa mara USIPITWE.

Millardayo nishujaa ila na wewe pia ni shujaa chaliangu atua ulio piga sio yamchezo
ReplyDelete