Tuesday, 14 November 2017

OMARION ANASHEREHEKEA SIKU MOJA KWA UZAIDI WA MIAKA 46 YA RAIS MSTAAFU WA TANZANIA


Staa wa muziki, muigizaji, dansa na muandishi wa nyimbo kutoka Marekani, Omari Ishmael Grandberry ‘Omarion’ leo ni siku muhimu na ya kumbukumbu kwake ya kutimiza umri wa miaka 33 ambapo kuna tofauti ya miaka 46 kati yake na aliyekuwa Rais wa Tanzania, Rais Mstaafu wa awamu ya tatu ‘Benjamin William Mkapa’.
Tokeo la picha la benjamin mkapa
Benjamin Mkapa mwenye heshima ya kuwahi kuliongoza Taifa la Tanzania, ametimiza umri wa miaka 79 na katika kumbukumbu yake kama kiongozi, Dizzim Ingeukia safu ya Burudani kuhusu kile kinachosubiriwa zaidi kutoka kwa Staa wa muziki wa kizazi kipya, Mtanzania na msanii Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ kama kazi ya pamoja na Omarion.

0 comments:

Post a Comment

Copyright © MOtown TV | Designed With By Blogger Templates
Scroll To Top